Maromboso Kusainiwa Rasmi.

Nimepokea baadhi ya video mpya kutoka kwa wakali mbali mbali wa Bongofleva, na mojawapo ni ‘‘Zilipendwa’ ya kundi zima la WCB ambapo ndani yake tumeona uwepo wa Maromboso ambaye alikuwa kweye kundi la Yamoto Band.

Je ndo amesainiwa na label ya WCB? maana hakuna ilipoonyeshwa kuwa ni wimbo wa WCB kumshirikisha Maromboso japo tumemuona Maromboso ndani.

Source: Millard ayo.