Blood Power – Tatu (Video)

Tazama Kazi ya Video Rasmi toka kwa Kundi la HipHop wanaowakilisha Arusha katika Game La Kughani wanaokwenda kwa jina la Blood Power, Video Imeongozwa na director NezoB Toka Kipago INC films Arusha.