Awilo Longomba sio jina jipya kwenye muziki Afrika, ni miongoni mwa Wakongwe kutokea Congo na ameamua kubadilika kutokana na wakati na bado anafanya muziki mpaka sasa, leo katuletea hii mpya aliyomshirikisha Tiwa Savage wa Nigeria inaitwa Esopi yo.
Source: Millard ayo