Leo March 22 2017 askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima, Dr. Josephat Gwajima amefika ofisi za Clouds Media Group kwa ajili ya kutoa pole kufuatia tukio la mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda kuvamia kituo hicho akiwa na askari wenye silaha.
Source: Millard ayo