Alikiba Atumia Neno Kipusa.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya AliKiba ameachia ngoma yake ‘Seduce’ akisikika katika matumizi ambayo yamezungumziwa sana ‘KIPUSA’, UNSTOPABLE na mengine ambayo yanaongeza chachu katika wimbo huo.

Kiu ya wengi waliokuwa tayari kupokea ujio mpya wa AliKiba wanaweza kuingia hapa kuisikiliza na kutzama video ya wimbo huu ‘SEDUCE ME’ ikiwa ni kazi ambayo inaviasharia kuwa imetayarishwa na Man Walter.

Kwa msisitizo zaidi kupitia wimbo huu Kiba anasikika akiipaisha RockStaa4000 kwa nguvu zaidi ambapo ikikumbukwa kwa uzuri ni kuwa rasmi mwezi uliopita ilishatangazwa kuwa Mkurugenzi wa RockStar4000.

Source: Dizzim Online