Ommy Dimpoz afuta Post.

 

Ommy Dimpoz ameamua kuchukua maamuzi ya kuifuta post kuhusu Mama Diamond baada kupewa ushauri na watu mbalimbali kuhusu kuhusisha wazazi kwenye bifu yake na Diamond.

Screen-Shot-2017-08-24-at-17.14.44

Msanii huyo ameamua kufuta picha aliyoiweka kwenye mtandao wa Instagram akiwa na Mama yake Diamond, Bi Sandrah na kuandika ujumbe mzito ambao watu wengi wamechukulia ni kama matusi kwa mama huyo na sio adui yake husika ambaye anapambana naye.

Baadhi ya watu walioonekana kukerwa na maneno ya Dimpoz ni meneja wake wa zamani, Mubenga, Nay wa Mitego na wengine.

Source: TeamTz.