Team Wema Wamfanyia Wema Suprise Kubwa.

[…]

Ikiwa leo Septemba 28, 2017, mwigizaji mahiri Bongo, Wema Isaac Sepetu almaarufu Keki ya Taifa, anasheherekea birthday yake, mashabiki wake wameungana kwa pamoja na kumfanyia surprise akiwa saluni kwa kumpelekea keki na shampeni wakiwa na matarumbeta.

Source: Udaku.

Facebook Notice for EU! You need to login to view and post FB Comments!