SISI ni kundi jipya la wasanii wa muziki wa RAP #HIPHOP toka East Africa #TANZANIA linalojumuisha vichwa kama @nikkimbishi @stereotanzania na @onetheincredible Muunganiko huu uliundwa rasmi 2010 tangu #M-LAB chini ya manager/producer wetu @duketachez Katika kutambua nguvu na mchango wetu kisanaa,#SISI tumeamua kuja #PROJECT ya pamoja kwa ajili ya kuendeleza elimu na burudani kwa mashabiki na wafuasi wetu. #HIVYO_BASI tegemea ujio wetu mpya na wa kishindo 2016. Artist:SISI feat @kingzilla_tz Song:SISI Prodby:@kibabuwapoteen/KIRI Records. #Coming_Soon #TagAllHipHopHeads #InfoPoweredBy @vmgafrica @vipajivmgafrica @kwanzapromo #KwanzaPromo @teamKaskazi kwanzanetworks.com
TOTAL VIEWS: 273