Sababu za Dr Cheni kusimama kuigiza Bongo Movie

Julai 18 2017 ambapo staa kutoka Bongo Movies, Dr Cheni alikuchukua headlines mitandaoni baada ya kutangaza kusimama kuigiza filamu nchini.

Aeleza  sababu za kusimama…….’Sio kwamba nitaacha kuigiza miaka miwili au mitatu bali nasimama kwa muda mfupi mpaka pale nitakapohakikisha kazi zetu zinatulipa vizuri na kutoibiwa kwani viongozi wetu wapya hawafahamu yanayofanyika’

Source: Millard ayo