Neyo alinitumia SMS ya kunipa hongera’-Diamond Platnumz

Ni Headlines za staa Diamond Platnumz ambapo April 23, 2017 alifika Mlimani City Mall na kuuza perfume yake mpya iitwayo Chibu Perfume.

Staa huyo kwenye exclusive interview na millardayo.com & Ayo TV pia aliwataja baadhi ya mastaa waliompongeza baada ya kuizindua perfume hiyo mpya, akiwemo mwanamuziki wa marekani neyo aliyemtumia sms na wengineyo

Source: Millard ayo