Ajali imebadilisha maisha ya Joyce Kantande na kumfanya asalie kitandani lakini kwa ujasili wakujishughulisha hakukata tamaa na kwa sasa ni mwalimu kwa hapo hapo kitandani kwake na kwa mujibu wake alichukua uwamuzi wa kufungua darasa nyumbani kwake mara baada ya kupata ajali iliyomsababishia ulemavu wa miguu.
Source: Millard ayo