Je, ni sawa mjamzito kufanya hivi?

Mitandao ya kijamii imechukua nafasi kubwa katika maisha yetu hivyo kupelekea wanawake wengi kupiga picha zinazoonesha maungo yao, mfano wamama wajawazito kupiga picha wakiwa wamevaa nguo zao za ndani tu na kuacha maungo yao yakiwa yanaonekana bila kujali ni watu wa rika gani wanaziangalia hizo picha.Hii inapelekea maadili kuzidi kumomonyoka siku hadi siku , je, una maoni gani juu ya hili?