Harmorapa kaachia video nyingine inaitwa ‘nundu’

Harmorapa alianza kukiki kwenye mitandao kiutaniutani ambapo baadae Producer maarufu P Funk Majani alimuona na kukutana nae kwenye studio za Bongo Records, alimsifia kuwa anapenda kujifunza na ni mwepesi pale anapoelekezwa.

Sasa Harmorapa kaanza kuachia ngoma zake ambapo hapa kamshirikisha  Ronei na Mkongwe mwingine wa Bongofleva Cpwaa.

Source: Millard ayo

Generic selectors
Exact matches only
Search in title
Search in content
Post Type Selectors
muzikizaidi
Author: muzikizaidi