Dwee – Njoo Afrika

Mpya toka kwa label ya “WePresent” anakuja Mwana Hip-Hop D-Wee from Watengwa Crew, “Njoo Afrika” ndio jina la ngoma hii ambayo inatambulisha rasmi album yake inayokwenda kwa jina “Umoja wa Kidunia” Watch & Subscribe plus share na marafiki

https://wepresentearu.wixsite.com/dwee-watengwa