Bob Julie – Nifungulie

Mkali Wa Reggae “BOB JULIE” @bobjulietz toka Tanzania anakuja na ngoma kwa jina ” NIFUNGULIE” ikiwa ni official audio toka Kennmack Records Moshi,Kazi ikiwa imeandaliwa na Mosaka, Kennedy pamoja na Bob Julie. Enjoy & Share na Marafiki Duniani