Binara – Mangachori

“Mangachori” ndio ngoma mpya toka kwa A-Town Rapper “Binara” , ikiwa ni full package from Tembo Recs na video toka kwa Director Modred Kenny fasi ya Arusha, stream kazi on all platforms na pia dondosha comment yako hapo kwa Binara. Ukipendezwa na kazi then help us Share and spread the 🔥