Bemax – Life Of Sadboy Album

Kwa majina naitwa praygod amos aka bemax from Arusha, Tanzania na miaka 20 ,birthday dàte ni dec 28 2000. Im upcoming arstist from tanzania na aina ya mziki ninayo fanya ni emo(emotional) rapping,mziki huu unahusu heartbreaks ,sad feelings ,unatia moyo na pia unaelezea jinsi maisha ya watu wanavyoishi kutokana na maumivu ya maisha au mapenzi. Life of a sadboy ni album yangu ya kwanza kwenye music industry na ina nyimbo 9 ndani yake.

Album hio imetengeneza na producer na pia director Isaya Amos kutoka Arusha Tanzania. kila nyimbo inahusu maisha halisi ya watu wanayoishi kila siku na pia unatia moyo kwa wale wanaopitia changamoto hizo na pia mziki wangu naimba ukwel katika jamii bila kuficha chochote. katika mziki huu (emo rapping) nataka niupeleke world wide ili mziki wetu wa tanzania uzidi kukua sana na kwenda kimataifa zaidi. nategemea support zenu watanzania wote ili tuupeleke mziki wetu kimataifa zaidi asante.Kwa mawasiliano/Mahojiano check na BEMAX kwa namba 0674857397 👦🏽BEMAX👦🏽 Instagram: https://www.instagram.com/bememax/ Facebook: https://m.facebook.com/MILLERWRLD9

https://www.youtube.com/watch?v=-AIsOsTCz_c
https://www.youtube.com/watch?v=L_0xWJ3BQ50
https://www.youtube.com/watch?v=i_EFpfzp9_k
https://www.youtube.com/watch?v=wt9vKiUufAY
https://www.youtube.com/watch?v=39JCU3g6G_E
https://www.youtube.com/watch?v=am2TuSbvclw
https://www.youtube.com/watch?v=MWh_4xje-V8
https://www.youtube.com/watch?v=Wgh_q0o_cX0
https://www.youtube.com/watch?v=IWwrDhVz41c