Roma Mkatoliki Amtetea Mke Wake.


Roma Mkatoliki Amtetea Mkewe…’Mke Wangu Kupost Instagram Atanipa Staili zote Hajakosea’
Msanii Roma mkatoliki akihojiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo EA Radio amesema aliulizwa ni staili ngapi mkewe amempa, akasema kwa kuwa neno style lina herufi nne basi ni staili nne
Alipoulizwa mkewe hajashtuka alipoona post yake imeenea sana, alisema hakuwa na cha kushtuka kwa kuwa hajakosea.

Source: Udaku