Ay amvalisha Pete ???

Siku chache baada mkongwe wa Hiphop Bongo, Prof. Jay kufunga ndoa, mkali mwingine wa Hiphop AY na yeye amefuata nyayo, amemchumbia mpenzi wake.       Ay amchumbia mpenzi wake wa muda mrefu Aitwaye remy ambaye ana asili ya kinyarwanda

 

Ay aliwahi kusema kuwa amekuwa na mpenzi wake huyo kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 7.

Source: Millard ayo