Alexer ft Boblim – Yohana (Suzanna Refix)

Mwanadada Alexer anakusogezea hapa ReFix ya ngoma “Suzanna” by Sauti Sol, version hii ikiwa ni collabo na Boblim, Ngoma inakwenda kwa jina “Yohana” produced by #LickyTouchez @noizmekah. Download Mp3 & Enjoy na marafiki.