Vitanda vya Kupangisha Hong Kong China

Makala nyingine kuhusu Vitanda Kupangishwa na sio Vumba kama tulivyozeoa Tz. Yote ikiwa ni ugumu wa maisha na ufinyu wa maeneo ya makazi kwa wananchi wenye hali ya chini Kiuchumi mjini Hong Kong