Shadrack Robert Mshindi KEGMA Awards

Taarifa njema kwa Tasnia ya Muziki wa Injili Tanzania, Msanii @ShadrackRobert aibuka Mshindi katika KEGMA (Kenya Gospel Music Awards) akishililia tuzo ya EastAfrican Artist of the Year

Shadrack asema “Niliitwa kwenda kusoma mshindi wa @kegma_awards East africa artist of the Year, kufungua bahasha paaa🤓🤓nikakuta MSHINDI NI MIMI ikabidi Jisome tu 😂😂And the WINNER IS ME😂😂😂😂”


ASANTE SANA KWA KUNIPIGIA KURA, Mungu Akuifathi na kukupa haja ya Moyo wako Amen.VIDEO MPYA INATOKA SOON SOON naomba ubonyeze link hii 👇🏼👇 https://www.youtube.com/channel/UCw1XVrzrE7MWaUIuAIIz8hg kisha Bonyeza Neno SUBSCRIBE