Pax Kweli – Nakotoka Album

  • Ujio wa mwana “Ones Music” anayefahamika zaidi kwa jina “PAX KWELI” Anakuja na album mpya kwa jina “Nakotoka” ikiwa ni Hiphop album yenye “Track Kumi” ambapo ni jumla ya ngoma Nane mbali na Intro na Outro. Pata nakala yako ya #NAKOTOKA kwa kupiga simu nambari +255 0655 787 800
  • Pia tazama Official video ya “One In A Million” ft Merlyn HAPA CHINI