Kutoka Geti la mbao kwa Morombo wanaibuka “HmoZepacha” wanakujia na cover video ya “KANYAGA” ikiwa ni Suprise kwa mashabiki zao baada ya kutamba vilivyo na project zao za awali ikiwemo video ya “Beautiful” na pia “Nifanye Niwe Wako” kwa sasa Enjoy cover ya “KANYAGA” cover na usasahau kuwafollow “Hassan na Hussein” https://instagram.com/hmozepachatz
TOTAL VIEWS: 1,267