Dogo Janja – Kishada (Video)

Straight Toka Manzese Music “MMB” Label ya MADEE anakuja “JANJARO” aka DogoJanja na video yake mpya “KISHADA” directed by @travellah wa Kwetu Studios na Audio Imepikwa MJ Records Dar-es-Salaam. Enjoy