Brown Chuga Queens-Take Over

Brand new from Wanadada “Brown Chuga Queens” wakiwakilisha vyema Arusha katika game la HipHop wanakuja na “Take Over” produced by @lickytouchez #noizmekah pamoja na NarshKeyz, download mp3 Audio & share na marafiki all over