Adorabo Mc – Next Step (Video)

Akiwakilisha pande za Unalimited Arusha, Adorabo Mc toka WA2Black anakujia na official video ya ngoma yake “Next step” Support Hip-Hop kwa kuitazama na kushare Na marafiki zako.

Facebook Notice for EU! You need to login to view and post FB Comments!