Zedy Wady – Sio Sare Challenge

Scroll HAPO CHINI kupakua #SioSareRapChallenge na hii kwa Rappers Wote wakali Tz, pakua Beatchorus toka kwa Mwanadada ZedyWady piga mistari verse mbili kisha tuma kwa whatsapp +255 692 713 199 Na kwa watakaotisha watapostiwa na kupewa shoutouts za @zedy_wady aka BlackRoseEmpire CEO na pia kuwepo kwenye Official Remix

563 Downloads