Hekaheka ya leo kutoka kwa Geah Habib ameileta inayotokea Bagamoyo ambapo watu wameamka asubuhi wamekuta mawe ya makaburini (Mashahidi) yamewekwa kwenye nyumba zao hali iliyozua taharuki huku baadhi yao wakidai yamewekwa na mtu. Mwenyekiti alikiri kutokea tukio hilo na kufanya utaratibu wa kuyarudisha mawe hayo makaburini
Source: Millard ayo