Wasanii Wanatoa Album Bila Featuring.

 

French Montana amewashangaa wasanii wanaotoa album bila kushirikisha wasanii wengine. Kwenye mahojiano ya jarida la Paper, rapper huyo mwenye asili ya Morocco amesema, “Who sits there thinking about weird shit like [going platinum with no features]?” Those people who put albums out by themselves are weirdos.”

“Music is about having fun,” aliendelea. “If I’m chilling with A$AP Rocky, or chilling with Drake or The Weeknd and we record, and then I have to say, ‘Look here, bro, I’m thinking about dropping this album just by myself.’ Artists would stop f*cking with you.”

Album ya pili ya rapper huyo, , Jungle Rules, imekamata nafasi ya 3 kwenye chati ya Billboard 200. Amewashirikisha wasanii kama Pharell Williams, Quavo, Travi$ Scott, Future, Swae Lee na wengine.

Moja ya wasanii waliowahi kwenda platinum bila kushirikisha msanii ni pamoja na J. Cole kupitia album yake, Your Eyez Only ya mwaka jana.

Source: Dizzim Online.

Facebook Notice for EU! You need to login to view and post FB Comments!