Walter Chilambo – Najivunia

“This beautiful song is to make us aware of how our Lord Jesus is so precious and so good than anything that we may have in life, for to us to live is Christ.” – Walter ChilamboHivi kuwa na mali Magari ya kifari  Bila amani  Unajivunia nini ? yeah Pesa nyingi  Nyumba na biashara  Bila amani, yeah yeah  Si mali kitu kama unaishi unalia ndani yako Kwa maumivu tena umeshikilia imani zako  Wamsahau mungu eti unajivuna ni nguvu zako na shule umesoma tena unajidanganya ni akili zako  Polee  Duniani sipakujivunia jina Wala mavazi ya heshima Bali neno la uzima litatuongoza vyemaaa Chorus: Mwezenu mimi jamanii Najivunia kuwa na yesu Vya dunia nimeviacha mbali Najivunia kuwa na Yeye Yesuu  Pekee yake anasimama Najivunia kuwa na Yesu Mfalme wa wafalme Najivunia kuwa na yeye Yeye ni mwalimu wa walimu  Ananifundisha vyema Yeye ni tabibu wa karibu Napata tiba njema  Yeye ni dereva  Anazijua njia zangu baba wo yeye ndie Shujaa  Anishindia vita yangu baba wo  Si mali kitu kama unaishi unalia ndani yako  Kwa maumivutena umeshikilia imani zako Wamsahau mungu eti unajivuna ni nguvu zako  Na shule umesoma tena unajidanganya ni akili zako Polee Duniani si pakujivunia jina  Wala mavazi ya heshima  Bali neno la uzima litatuongoza vyema  [Chorus]  Mwenzenu mimi jamani  Najivunia kuwa na yesu  Vya dunia nimeviacha mbali  Najivunia kuwa na yeye  Yesu pekee yake anasimama  Najivunia kuwa na Yesu  Mfalme wa wafalme  Najivunia kuwa na Yesu  Kwa mara hii mungu Aliupenda ulimwengu  Akamtoa mwanae wa pekee  Ili kila mtu a mwaminie asipotee  Bali awe na uzima wa milele  Najivunia kuwa nae Mwenzenu mimi jamani najivunia kuwa na Yesu Vya dunia nimeviacha mbali  Najivunia kuwa na yeye  Yesu peke yake anasimama  Najivunia kuwa na yesu  Ninatembea kwa maringo Najivunia kuwa na yeye