Sherehekea siku ya Valentines Siku ya Jumanne Tarehe 14 Februari 2017 , Wakazi wa Arusha mnakaribishwa MileStone Club Arusha Katika “VALENTINES WANGU” Burudani mwanzo Mwisho, Kuanzia Saa kumi na moja jioni mpaka Baaas!!kwa kiingilio cha Tsh 5000/= Single na 10000/= Kwa couples. Pata bia moja “Tusker Lite ” Mlangoni na Wewe Na Mwenza Wako muwanie Zawadi ya Bed & Breakfast
TOTAL VIEWS: 814