UNAAMBIWA: Mambo matatu ambayo pengine ulikuwa huyafahamu

Kadiri dunia inavyozidi kuwa kitu kimoja ndivyo mambo ambayo yalikuwa vigumu kuyafahamu yanazidi kuwekwa bayana ambapo tafiti zinazidi kufanywa kubaini na kutambua mambo mbalimbali katika maisha na mazingira ya binadamu.

Wanasaikolojia, wataalamu wa afya na tiba, wana anga, wana maji na wabobevu wa masuala mbalimbali wanazidi kutanua wigo wao kuhakikisha tunafahamu ambayo hayakufahamika awali. Leo April 25, 2017 kupitia kwa wataalamu hawa wa fani mbalimbali nimekusogezea mambo matatu ambayo pengine ulikuwa huyafahamu.

Unaambiwa muda mrefu zaidi kwa mwanamke kutunza siri yoyote bila kuisema popote ni saa 47 na dakika 15 tu, baada ya hapo haiwi siri tena.

Unaambiwa njia rahisi ya kupambana na msongo wa mawazo (stress) au kusahau matatizo ni kulala, na sio pombe au sigara kama ilivyozoeleka

Source: Millard ayo