Twista – War Ready (Video)

WAR READY ndio Video jipya toka kwa “TWISTA” , rapper wa kimarekani anayeghani kwa kasi toka enzi na enzi. Video imeongozwa na Gravitii Films na hapa anadhihirisha kwa mashabiki zake kwamba still Fast Rap ipo kwenye Ramani, Twista ameachia Mixtape yake mpya kwa jina “Summer 96”