SHILOLE ATOA SABABU ZA KUSHINDWA KUWA “SALOME” KWENYE VIDEO YA WIMBO WA DIAMOND.

Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumz alitaka yeye ndio awe video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa…. Sema siku ya kushoot alipata dharura hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto…. Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata views milioni 2 ndani ya siku mbili.

Story By: @Joplus_

Source: Udaku Special Blog