Female Rapper ambaye anatisha kwa sasa Bongo, Rose Ree kutoka label ya The Industry ameachia ngoma mpya ‘Mchaga’ ambayo amewashirikisha Navy Kenzo, prodyuza wa ngoma hii ni Nahreel. Hii inakuwa kolabo ya pili kwa Rosa Ree baada ya remix ya ngoma ya One Time aliyompa shavu Khaligraph Jones kutoka nchini Kenya.
Source: Udaku