Ras Bao – African spirit + Umoja Ni Nguvu + Kwanini

Kutoka Tanzania Mpaka Sweden, anakuja Ras Bao featuring Yasimbi wakikuambia “African Spirit” .Pia tazama kazi zingine za RASBAO HAPO CHINI ikiwemo “Umoja Ni Nguvu” na “KWANINI”