Peter wa P.Square amuandaa mwanae.

 

 

Msanii, mtayarishaji na mwanakikundi cha muziki cha mapacha wawili kutoka chini Nigeria cha P-Square ‘Pater Okoye’ katika kuunga mkono harakati za kupinga unyanyasaji wa akina mama amempeleka mwane wa kike Aliona Okoye katika mafunzo ya mapigano ya Martial Art.

 

Kupitia ukurasa wa Instagram wa Peter alipost picha ya mwane Aliona akiwa katika mavazi ya mafunzo ya mchezo huo wa mapigano na kuweka maelezo ya kuwa kwasasa anahitaji kumuandaa mwane ili aweze kukabili mikikimiki ya wanaopenda kuwanyanyasa wanawake kwa vipigo.

“Ngoja nianze kumuandaa mwanagu kwa ajili ya wale wapiga akina mama.

Source: Udaku.