Video “Tekno” amethibitisha Kumegwa na Paul wa PSquare

TEKNO

Staa wa Muziki, Promoter na Member wa kundi kubwa la Muziki la PSquare, Paul Okoye,  ameamua kutumia Fedha zake na Uwezo wake Kummega Msanii Anayefanya Vyema kwa sasa Nchini Nigeria na Afrika Kiujumla.

Paul Okoye ameingia Mkataba Rasmi na Kumega Asilimia Hamsini (50%) shares ya Record Label ya Tekno.

Paul Okoye

Tekno, ambaye ni Msanii wa Triple MG,  ametumia Mtandao wa Kijamii wa Instagram kuwatakia mashabiki wake heri ya Mwaka mpya na kuamua kuweka wazi kwamba anayo furaha kubwa na ana matumaini makubwa kwa mwaka huu mpya 2017 baada ya Paul Okoye wa P Square kununua nusu ya miliki kwenye kazi zake.

Amepost Video hii hapa chini na ameyazungumza maneno haya hapa:-

“My people, listen. I’m happy and excited about life. That’s all that matters despite this year being a crazy year.

“So, I want to use this opportunity to say thank you to Upfront and Personal. Thank you Paul O for becoming a part of my label, for buying into the company… owning 50% shares of the company.

“This is really good. I’m excited because it really facilitated a lot of things.”

TAZAMA VIDEO HII HAPA CHINI


Kama Kumjibu Hit Maker wa ‘Pana’ Paul Okoye, aliamua ku repost Video aliyoipost Tekno na Kuipa Caption:-

“Tekno, I believe in you. 2017 will be your year”.