Msanii Mirror Aelezea Ukimya Wake

Baada ya kimya kirefu kilichosabishwa na kupata ajali ya gari, Mirror amerudi tena kwa mashabiki kuwaeleza kinachoendelea kwenye muziki wake.

“Mashabiki zangu nataka wafahamu kuwa Mirror anarudi tena, wanipokee kama walivyonipokea zamani na ninawaahidi kufanya mara mbili ya zamani kwa sababu kwa sasa nina vitu vingi na hata muonekano wangu kwa sasa umebadilika, so ninaimani kufanya vizuri zaidi ya pale.

Hata hivyo hakutaka kabisa kuzungumzia menejimenti yake ya Endless Fame Films ambayo mpaka leo haijulikani kama ametoka ama bado yuko nayo.

Source: Dizzimonline