MREMBO HUDDAH WA KENYA AANZA KUDATA NA RAYMOND WA WCB.

Inaonekana kama The Boss chick wa Kenya, Huddah Monroe ameanza kudondosha mate kumtamani staa kutoka WCB, Raymond (Rayvanny).

Hii ni baada ya kutupia comment ya kuonyesha dalili hizo zote kwenye picha aliyo post Rayvanny kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Picha aliyopost Rayvanny nakisha Huddah Monroe kuja ku comment kuhusu hisia zake.

rayvanny-20161014-0001

Rayvanny kupitia ukurasa wake wa Instagram aliweka picha hiyo hapo juu akiwa ameandika.. “Unahisi nini kimefanya nizubae???“

Pasipo kuendana na kile ambacho kimeulizwa kwenye picha hiyo, The Boss chick, Huddah Monroe alitupia comment yake nakuandika.. “Ukipata hela nyingi utakuwa mzuri sana….. I’ll be waiting”

PicsArt_10-14-06.50.57

kitu kilicho ashiria kwa asilimia kubwa kuwa amemdondoshea mate.

Huddah-Monroe-akiwa-na-HarmonizeHuddah Monroe akiwa na Harmonize kwenye pozi la kimahaba.

Miaka ya nyuma tetesi zilisha vuma kuwa Huddah Monroe alishwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na msanii kutoka WCB, Harmonize japokuwa wote walikanusha huku video na picha zikiwaonyesha wakiwa kwenye pozi la kimahaba.

Unadhani Rayvanny akiwa na Huddah Monroe watapendezea? Niwekee maoni yako hapo chini.

Story By: @Joplus_

Source: Perfect255.com.