MATONYA – SUGUA BENCHI (OFFICIAL AUDIO).

Baada ya kimya cha muda mrefu msanii Matonya ameamua kurudi kwa nguvu zote baada ya kuachia Audio na Video za ngoma hii yakwake mpya inayoitwa “Sugua Benchi”.

Na hii ambayo nimeivuta kwako muda huu ni Audio. Enjoy nayo

Story By:@Joplus_

Source: Perfect255.com.