Kwere Yer Yer – Tano Tena

HipHop artist “Kwere Yer Yer” anakuja na ngoma ya kunadi sera za Chama cha Mapinduzi na hususan kuwapa tag Wagombea na kumnadi Mgombea Urais Dr John Joseph Pombe Magufuli, Stream On youtube. Like, Comment Subscribe and share Mp3 Download all over na marafiki