JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!

FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA
KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA
YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU

~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili
ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa
kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital
kupata tiba

JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI
NINI????!!

~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa
mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya
haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo
huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu
kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha
kutoka kinyama au uvimbe

~ugonjwa huu wa bawasiri kwa lugha ya
kitaalamu tunauita HEMORRHOIDS ilhali kwa
lugha ya kingereza unafahamika kama piles

~tatizo hili huwaathiri watu wote ila zaidi
huwaathiri watu wazima kuliko watoto na
inakadiriwa kuwa karibu 50%ya watu wote wako
katika hatari ya kupata tatizo hili katika umri wa
miaka 30_50

AINA ZA BAWASIRI

~Kuna Aina mbili za bawasiri

(A) BAWASIRI YA NDANI
~Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji
wa haja kubwa huwa haiambatani na maumivu
na wengi huwa hawajitambui kuwa Wana tatizo
hili

~Aina hii hutokana na kuvimba na kuharibika kwa
mshipa wa artery za ndani ya mfereji wa haja
kubwa

~Aina hii imegawanyika katika madaraja manne

(1)DARAJA LA KWANZA ~Hii ni bawasiri ambayo
haitoki mahal pale panapohusika

(2)DARAJA LA PILI ~hii hutokea wakati wa haja
na kurudi yenyew ndani baada ya kujisaidia

(3)DARAJA LA TATU :hii hutokea wakati wa haja
kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye
mwenywe

(4)DARAJA LA NNE :hii ni bawasiri inayotoka na
huwa ngumu kurudi

(B)BAWASIRI YA NNJE
~Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la
mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na
huambatana na maumivu makali na kuwashwa
kwa ngozi katika eneo la tundu Hilo pia
husababisha mishipa ya damu (vena) kupasuka
na damu kuganda na kasababisha Aina ya
bawasiri iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS

CHANZO CHA TATIZO
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana
ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata
ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷

👉KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE

👉KUHARISHA KWA MUDA MREFU
👉
TATIZO LA KUTOPATA CHOO
👉MATATIZO YA UMRI
👉
KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA
MREFU

DALILI ZA BAWASIRI
Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja
kubwa
kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja
kubwa
kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu
Hilo
kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu
mbaya sana

MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA TATIZO LA
BAWASIRI
~matibabu ya bawasiri hutegemea na Aina ya
bawasiri pia tiba iliyozoeleka ni kukatwa kinyama
na kuendelea na lishe ya chakula hata hvyo tiba
hii si nzuri kwasababu huwa haitibu chanzo cha
tatizo hivyo huwa rahisi kujirudia

~Pamoja na hayo bawasiri ni ugonjwa unaoweza
kuepukika kwa kuzingatia

👉KULA MBOGAMBOGA ZA MAJANI, MATUNDA,
NA NAFAKA ZSZOKOBOLEWA
👉KUNYWA MAJI MENGI ANGALAU GRASS 6/12
Kwa siku
👉EPUKA KUKAA CHOONI KWA MUDA MREFU

MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu
ya tendo la ndoa kwa wanawake
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa moral ya kufanya Kaz kutokana na
maumivu makali

story@moodyhamza