Fuse Odg awataka Nivea waondoe mabango yao.

Staa wa muziki nchini Uingereza anayetokea Ghana, Fuse ODG ameitaka kampuni ya vipodozi ya Nivea iyaondoe mabango yao ya barabarani katika nchi za Afrika na kuwahimiza wananchi wasusie bidhaa zake.

Ameandika kwenye Instagram:

Dear Nivea,
Kindly take down these billboards you have placed all over our beloved countries in Africa. I saw this one with my own eyes today in Ghana and we love our complexion the way it is. And if you don’t take these down. We will.
Every African everywhere should stop buying any Nivea product. Tag the Nivea branch from your country so they understand how foolish this is!
With love

#PULLITDOWNNOW
@Nivea_uk @NiveaUSA

@reggierockstone711 @Sarkodie @r2beesmusic

Pia ameweka tangazo la Nivea na kuandika:

I’ll leave this here. For those of you claiming the word “fairer” could be ambiguous and mean beautiful. As for Nivea, you have heard the people, take action and take down your billboards from our countries in Africa and this foolish video too. You CANNOT promote Self Hate for Africans and profit from Africans at the same time. I’m very disturbed by this video and miseducating our youth like this. #PULLITDOWNNOW

It’s time to consume our own products…shea butter, coconut oil etc. and live a Self Loving lifestyle. Black Is Beautiful. Continue to tag your Nivea branch and tell them to #PULLITDOWNNOW #TAKEITDOWN
@Nivea_UK @NiveaUSA

Hivi karibuni Nivea ilijikuta kwenye kitimoto baada ya kutengeneza tangazo linalomuonesha mwanamke wa Kiafrika anabadilika kuwa mzungu baada ya kujipaka bidhaa yake. Waafrika wengi walikosoa tangazo hilo na kupelekea Nivea kuomba radhi.

Source: Dizzim Online.