Fid Q : Uzinduzi wa Album Na Bendi

Check performance ya “HipHop” Icon Fareed Kubanda” FID Q, akizindua Kitaaolojia Album baada ya kukaa kwa zaidi ya miaka 9 toka alipotoa album yake ya mwisho.Fid Q amefanya uzinduzi wa album yake hiyo kwa kukata keki na kutoa burudani ya bure kwa mashabiki wake waliopata nafasi kualikwa kwenye shughuli hiyo. Video kwa hisani ya @millardayo