Fashion yampeleka Flaviana Matata Hatua Nyingine.

Umaarufu wa Flaviana Matata katika ulimwengu wa fashion unazidi kupaa kwa kasi ya ajabu. Supermodel huyo toka Tanzania mwenye makazi yake jijini New York, Marekani amekuwa akila flight kila uchwao kuhudhuria hafla mbalimbali za fashion duniani. Wiki hii alialikwa jijini Seoul, Korea Kusini.

Ameshare kile alichokiona huku kwenye Instagram:

Seoul has been EPIC, amazed by the professionalism and kindness of its people. The beauty industry here is insane and mind blowing. Special thanks to Korean Embassy and KOTRA for this great opportunity, excited for our new ventures.

Pamoja na kufanya fashion, Flavy pia ni mjasiriamali ambapo ana brand yake ya rangi za kucha, Lavy.

Source: Dizzim Online.