Dj davizo Aachia Nyingine Kali

Huwa sipendi hizi video kali kutoka Bongoflevani zikupite mtu wangu leo March 29 2017 nisingependa hii ‘Hustler Hard‘ ya DJ Davizo, ikupite usisahau Pia kuniachia comment yako hapa chini na Mkali Huyu ataiona hapa

Source: Millard ayo