Diamond Awajibu Waliomtukana.


Ni kweli ukitaka kumuuwa paka lazima ufanye kazi kwa kuwa ana ‘roho saba’? Basi inawezekana kumteketeza Diamond lazima ufanye kazi pia.
Msanii huyo amewajibu wabaya wake kupitia mtandao wa Instagram, baada ya kuonekana kuibuka mshindi katika vita ya mtoto aliyezaa na mrembo Hamisa Mobetto.

Daimondi ameandika hivi kupitia instagramu yake “Chawa KATU hauliwi kwa DOLE GUMBA…… Leo kawa Baba WATATU yule waliomuitaga MGUMBA.

Source: Udaku.