Country Boy Ft Harmonize – Watoto (Video)

Country Weezy aka Country Boy anaungana na Konde Boy kwenye zaga jipya kwa jina la “WATOTO” ikiwa ni mkono toka kwa s2kizzy. Check collabo hio ikiwa ni Official Video directed by #Kenny wa @ZoomProductions